RAIS JAKAYA NA WAZIRI MKUU PINDA WAKUTANA NA CEO WA DUNIA WA VODAFONE - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Thursday, 6 October 2011

RAIS JAKAYA NA WAZIRI MKUU PINDA WAKUTANA NA CEO WA DUNIA WA VODAFONE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare,Mkurugenzi wa Vodafone Vitorio Colao, Mkurugenzi wa kimataifa wa maswala ya kibiashara wa Vodacom Afrika ya kusini Johan Dennelind.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo na Meneja wa mfuko wa Vodacom wa kusaidia wakina mama nchini Mwamvua Mlangwa,na Ofisa mkuu wa masoko na mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone Vitorio Colao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare,ambapo uongozi wa kampuni hiyo ulienda Ikulu hivi karibuni kujadili maswala mbalimbali ya kibiashara,wapili kutoka kushoto Mkurugenzi wa kimataifa wa maswala ya kibiashara wa Vodacom Afrika ya kusini Johan Dennelind,Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone Vitorio Colao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone Vitorio Colao,ambapo uongozi wa kampuni hiyo ulienda Ikulu hivi karibuni kujadili maswala mbalimbali ya kibiashara,anaeangalia kushoto Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda,kulia Mkurugenzi wa kimataifa wa maswala ya kibiashara wa Vodacom Afrika ya kusini Johan Dennelind.
Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda, akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare,ambapo uongozi wa kampuni hiyo ulienda Ikulu hivi karibuni kujadili maswala mbalimbali ya kibiashara,wapili kutoka kushoto Mkurugenzi wa kimataifa wa maswala ya kibiashara wa Vodacom Afrika ya kusini Johan Dennelind,Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone Vitorio Colao.

No comments:

Post a Comment