KATIBU UVCCM AMTEMBELEA KIJANA ALIYEMWAGIWA TINDIKILA IGUNGA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


27 Oct 2011

KATIBU UVCCM AMTEMBELEA KIJANA ALIYEMWAGIWA TINDIKILA IGUNGA

Katibu mkuu wa umoja wa vijana wa (UVCCM)Martine Shigela akiwa nazungumza na kijana Musa Tesha ambaye alimwagiwa tindikali Igunga .
Picha ya kijana Musa akiwa anawasimulia waheshimiwa waliomtembelea akiwemo mbunge wa viti maalumu kupitia UVCCM mkoani Arusha Catherine Magige jinsi tukio halisi lilivyo mtokea.
Viongozi mbalimbali wa chama cha mapinduzi kutoka mkoani Arusha waliambatana na katibu wa UVCCM kwenda kumuangalia kijana huyo


Kijana Musa Tesha (24) jinsi anavyoonekana akiwa amemwagiwa tindikali wakati wa  kampeni za uchaguzi Igunga kwa sasa yupo moshi kwa matibabu zaidi ila hali yake inaendelea vyema.
Na Woinde shizza

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad