RAPA MKALI Mkali Sana wa Marekani,Muandishi wa nyimbo,Muandaaji wa nyimbo na Mcheza Sinema E.V.E atua jijini NAIROBI Kwa ajili ya Show Kali litakalofanyika kwenye viwanja vya Carnivore Leo.
Hapa ni Davies, Eve , Msechu, Cabo Snoop na Shaggy wakitafakari show itakavyokua,pia Nairobi itawakilishwa na Amani,Jaguar na kundi la HotRod Band.
Hapa Wasanii wakiongea na vyombo vya Habari,Cabo snoop (mzee wa Windek ...windek na Prakatambuumba ..buumba na album yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la Bluetooth), EVE (Who tha Girl?) na Shagyy ( Mr lover lover,Church heathen..).
SERIKALI YAHIMIZA WANANCHI KUPATA ELIMU YA FEDHA
-
Kaimu Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha,
Bi. Dionisia Mjema (Katikati), akizungumza katika mkutano na wanahabari wa
Jiji...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment