Mlezi wa Chama cha Wanamuziki wa nyimbo za Injili, Martha Mlata (kushoto) ambaye pia Mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida akimkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama kutokana na kutambua mchango wake katika kupambana na wezi wa kazi za wasanii. Wengine katika picha ni wasanii wa nyimbo za injili. (Picha na Francis Dande).
Bandari ya Pemba kufungua zaidi milango ya utalii
-
Na Mwandishi Wetu
PEMBA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.
Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema Pemba ina vivutio vingi ...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment