MWANAMUZIKI CABO SNOP WA ANGOLA AWASILI JIJINI NAIROBI TAYARI KWA ONYESHO LA TUSKER ALL STARS - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


28 Sept 2011

MWANAMUZIKI CABO SNOP WA ANGOLA AWASILI JIJINI NAIROBI TAYARI KWA ONYESHO LA TUSKER ALL STARS


Mwanamuziki Cabo Snop kutoka nchini Angola akihojiwa na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili jana jioni katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyata Nairobi nchini Kenya mwanamuziki huyo atafanya onyesho la pamoja na wanamuziki Shaggy na Eve kutoka nchini Marekani katika onyesho la Tusker All Stars the Concert. Picha na Ahmed michuzi wa michuzijr.blog
Mwanamuziki Cabo Snop kutoka nchini Angola akiwasili katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyata huku akiwa ameambatana na wapambe wake.
Baadhi ya walimbwende wa Tusker waliofika katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyata kuwapokea wageni wao wakipozi kwa picha jana jioni.
Mwanamuziki Cabo Snop akionekana kufurahishwa na jambo wakati alipokuwa akiongea na waandishi wa habari alipowasili katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyata jijini Nairobi jana.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad