Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Maaskofu wa kanisa la Anglican
nchini bada ya kuwasili kwnye Kanisa lao Kuu mjini Dodoma kuhudhuria
ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Dayosisi ya Central Tanganyika,Dkt.
Dickson Chilongani Novemba 23, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha Askofu wa
Dayosisi ya Central Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani katika ibada ya
kumweka wakfu Askofu huyo iliyofanyika kwenye kanisa kuu la Anglican
mjini Dodoma Novemba 23, 2014.
Baadhi ya washiriki wa Ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Dayosisi ya
Central Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani wakimsikiliza Waziri Mkuu
Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye ibada hiyo iliyofanyika kwenye
kanisa Kuu la Anglican mjini Dodoma Novemba 23, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na washiriki wa ibada ya kumweka
wakfu, Askofu wa Da yosisi ya Central Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani
kwenye kanisa Kuu la Anglican mjini Dodoma Novemba 23, 2014.Picha zote na Doreen Aloyce wa Blogu ya Wazalendo 25 Blog
Benki ya CRDB yakabidhi madarasa Sekondari ya Kikilo, Shule ya Msingi
Isabe, Kondoa
-
Benki ya CRDB kupitia sera yake ya uwekezaji kwa jamii, Aprili 24 - 25,
2024 ilikabidhi madarasa mawili katika Shule ya Sekondari Kikilo na
madarasa mengi...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment