AFYA NA TEKNOLOJIA : CRDB NA KCMC WAZINDUA MPANGO WA KULIPIA MATIBABU KWA NJIA YA KADI (ATM), MJINI MOSHI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


7 Mar 2014

AFYA NA TEKNOLOJIA : CRDB NA KCMC WAZINDUA MPANGO WA KULIPIA MATIBABU KWA NJIA YA KADI (ATM), MJINI MOSHI

Mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB,Dk Charles Kimei akimuelekeza jambo Askofu Dk Martin Shao kabla ya uzinduzi wa huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi.

Askofu Dk Martini Shao akizindua rasmi huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi ambayo sasa itatolewa katika hospitali ya rufaa ya KCMC.
Mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB Dk Charles Kimei akifanya malipo kwa njia ya kadi katika hospitali ya rufaa ya KCMC ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa huduma hiyo.
Baadhi ya wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa tawi dogo la CRDB pamoja na uzinduzi wa utolewaji wa huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi katika hosptali ya rufaa ya KCMC.
Wachungaji wakishirikisha neno la Mungu wakati wa hafla ya katika hosptali ya rufaa ya KCMC ya uzinduzi wa tawi dogo la CRDB pamoja na uzinduzi wa utolewaji wa huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi katika hosptali ya rufaa ya KCMC.
Baadhi ya mameneja na wafanyakazi wa CRDB wakifuatilia hafla hiyo.
Tawi dogo la Benki ya CRDB lililozinduliwa katika hospitali ya rufaa ya KCMC . Kwa picha zaidi bofya hapa Kijiwe Chetu Blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad