HALI NI TETE KATIKA JIJI LA ARUSHA ,MABOMU YARINDIMA TENA...!!!VIWANJA VYA SOWETO - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


18 Jun 2013

HALI NI TETE KATIKA JIJI LA ARUSHA ,MABOMU YARINDIMA TENA...!!!VIWANJA VYA SOWETO


??????????????????????

KWA TAARIFA ZILIZO IFIKIA BLOG YA WAZALENDO 25 MUDA HUU;INASEMA MABOMU YANAENDELEA KURINDIMA KATIKA VIWANJA VYA SOWETO ,BAADA YA WATU WALIOJIKUSANYA KWENDA KWENYE MAOMBOLEZO YA WAFIWA WA MABOMU YA JUZI, KUZUIWA NA JESHI LA POLISI NA KUKAIDI. JESHI LA POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUTAWANYA WATU.

HABARI ZAIDI ..TUTAENDELEA KUKULETEA.....

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad