TASWIRA MBALIMBALI YA UZINDUZI WA JIJI LA ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


3 Nov 2012

TASWIRA MBALIMBALI YA UZINDUZI WA JIJI LA ARUSHA



Waziri wa Ujenzi Dr. Magufuli alifika mapemaaa
Mduara nao ulikuwepo .....
Madiwani na wajumbe wengine wakiangalia kwa umakini uzinduzi
Mvua nayo iliwakimbiza watu sana...!!!
Uzinduzi unafanyika na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete
Uzinduzi unafanyika na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete,pembeni ni meya wa Jiji la Arusha.
Soma mwenyewe...
Wasanii wa Arusha waliokuwepo kwenye uzinduzi wa Jiji la Arusha
Diamond na kundi lake wakifanya mambo yao

O.K wakifanya mambo katika uzinduzi wa jiji la Arusha.
Ulinzi mwanzo mwisho
Hiki nacho kilipitishwa maeneo hayo....
Waandishi wa habari wakibadilishana mawazo 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad