SHIRIKA LA KAZI DUNIANI(ILO) LATOA SEMINA NA VYETI KWA WANACHUO CHA HABARI ARUSHA (AJTC) LEO - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


7 Nov 2012

SHIRIKA LA KAZI DUNIANI(ILO) LATOA SEMINA NA VYETI KWA WANACHUO CHA HABARI ARUSHA (AJTC) LEO

CEO wa Wazalendo 25 Blog (www.wazalendo25.blogspot.com) akipokea cheti kuhitimu semina iliyoandaliwa na Shirika la kazi Duniani (ILO-SIYB) pamoja na mashirika mengine kwa lengo la kuwafundisha wanahabari wanafunzi kujitambua wao ni nani? na wanafanya nini? na kwa wakati gani?,leo katika ukumbi wa Golden Rose Jijini Arusha.
Kushoto ni muendesha mada Mr. Bill Mushi (mfanyabiashara maarufu Tanzania na Marekani) , Mkurugenzi wa chuo cha uandishi wa habari Arusha Mr. Mayagila na Mkufunzi wa chuo hicho Mr. Andrea Ngobole katika semina leo Golden Rose Arusha.
Wanachuo cha Uandishi wa Habari Arusha (AJTC) wakisikiliza kwa umakini
Kifungua kinywa nacho kilikuwepo ,anaegawa kushoto ni mratibu wa shughuli hii Mr. Stanley Magessa (ILO)
Mkurugenzi wa ASILI YETU TANZANIA blog (www.victormachota.blogspot.com) Mr. Victor Machota akifurahia semina
Msechu wa TAZAMA TV alihudhuria katika semina hiyo
CEO akisikiliza na kufuatilia kwa umakini semina hiyo
Wanachuo cha Kilimanjaro Film na waandaaji wa TAZAMA TV wakisikiliza kwa umakini semina.
Mary Emanuel P. Mollel akipokea cheti cha mafunzo ya semina
Doreen Aloyce akipokea cheti cha mafunzo ya semina.
WAKURUGENZI WA www.victormachota.blogspot.com na www.wazalendo25.blogspot.com wakifurahia Vyeti vya mafunzo hayo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad