MADIWANI WA ARUSHA -CHADEMA WAPATA MFADHILI WA DENI LINALOWAKABILI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 24 November 2012

MADIWANI WA ARUSHA -CHADEMA WAPATA MFADHILI WA DENI LINALOWAKABILI

Mhe. Mathias akitoa tamko ya kumlipia Diwani wa CHADEMA  kwa jina la Rehema, aliekuwa akidaiwa na mahakama kwa kushindwa kesi iliyokuwa inawakabili ,alitoa ahadi hiyo leo kwenye uwanja wa sheikh Amri Abeid Jijini ,Arusha
Huyu ndie Diwani Rehema alieahidiwa kulipiwa deni alilokuwa akidaiwa na mahakama kwa kushindwa kesi iliyokuwa inawakabili ,Mhe. Mathias alitoa ahadi hiyo leo kwenye uwanja wa sheikh Amri Abeid Jijini ,Arusha.
Huyu ni Diwani mwingine alieamua kukihama chama cha CHADEMA na kuhamia CCM katika  uwanja wa sheikh Amri Abeid Jijini ,Arusha leo.

No comments:

Post a Comment