Ikulu :Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba Bruno Rodriguez Parrilla Ikulu Jijini Dar Es Salaam - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 30 June 2022

Ikulu :Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba Bruno Rodriguez Parrilla Ikulu Jijini Dar Es Salaam


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba Mhe. Bruno Rodriguez Parrilla aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba Mhe. Bruno Rodriguez Parrilla aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2022.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba Mhe. Bruno Rodriguez Parrilla mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2022. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment