Matukio : Wizara ya Fedha Yaliomba Bunge Shilingi Trilioni 12.058 mwaka wa Fedha 2018/19 - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 5 June 2018

demo-image

Matukio : Wizara ya Fedha Yaliomba Bunge Shilingi Trilioni 12.058 mwaka wa Fedha 2018/19


AC3A0870
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake, Bungeni Jijini Dodoma, ambapo ameliomba Bunge, kuiinidhinishia Wizara hiyo kukusanya na kutumia shilingi trilioni 12.058, ambapo shilingi trilioni 10.763 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, katika mwaka wa fedha 2018/19.
AC3A0877
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake, Bungeni Jijini Dodoma, ambapo ameliomba Bunge, kuiinidhinishia Wizara hiyo kukusanya na kutumia shilingi trilioni 12.058, ambapo shilingi trilioni 10.763 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, katika mwaka wa fedha 2018/19.
AC3A0885
Baadhi ya viongozi wa Waziri wa Fedha na Mipango, wakifuatilia Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo, ambapo Bunge limeombwa, kuiidhinishia Wizara hiyo kukusanya na kutumia shilingi trilioni 12.058, ambapo shilingi trilioni 10.763 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, katika mwaka wa fedha 2018/19.
AC3A0908
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), na Naibu wake Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), wakifutilia kwa makini michango ya waheshimiwa wabunge walioanza kuchangia Bajeti ya Wizara hiyo, ambayo imeomba kudhinishiwa kiasi cha shilingi trilioni 12.058 kwa mwaka wa fedha 2018/19, Bungeni, Jijini Dodoma.
AC3A0930
Mhe. Martha Mlata, Mbunge wa Viti Maalum wa Jimbo la Singida, akimpongeza Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), baada ya kuwasilisha Bungeni Mjini Dodoma, Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo ambapo ameliomba Bunge, kuiinidhinishia Wizara yake kukusanya na kutumia shilingi trilioni 12.058, ambapo shilingi trilioni 10.763 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, katika mwaka wa fedha 2018/19
AC3A0952
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akifurahia jambo na Mhasibu Mkuu wa Serikali, CPA Francis Mwakapalila (kushoto) na Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bw. Mohammed Mtonga, nje ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma, ambapo ameliomba Bunge, kuiinidhinishia Wizara yake kukusanya na kutumia shilingi trilioni 12.058, kiasi cha shilingi trilioni 10.763 kikiwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, katika Mwaka wa Fedha 2018/19
AC3A0964
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwa katika Picha ya Pamoja na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, Mnaibu Katibu Wakuu, Wakuu wa Idara na Vitengo na wafanyanyakazi wengine wa Wizara hiyo, nje ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma, Baada ya kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo, ya shilingi trilioni 12.058.
AC3A0971
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akiteta jambo na Kaimu Msajili wa Hazina, Bw. Mafutah Bunini, nje ya viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, baada ya Wizara hiyo kuliomba Bunge, kuiinidhinishia shilingi trilioni 12.058, ambapo kiasi cha shilingi trilioni 10.763 kikiwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, katika Mwaka wa Fedha 2018/19
AC3A0980
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa, akizungumza jambo na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Susana Mkapa, nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma, baada ya Wizara hiyo kuliomba Bunge, kuiinidhinishia shilingi trilioni 12.058, ambapo kiasi cha shilingi trilioni 10.763 kikiwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, katika Mwaka wa Fedha 2018/19.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango-Dodoma)

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *