Matukio : Balozi Luvanda Atembelea wanafunzi waTanzania wanaosoma jimbo la Punjab nchini India - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


20 May 2018

Matukio : Balozi Luvanda Atembelea wanafunzi waTanzania wanaosoma jimbo la Punjab nchini India



Hafla hii iliandikwa kwenye magazeti karibu yote ya Punjab na kimataifa

Balozi Luvanda akiwa katika kilemba cha asili akikaribishwa na wenyeji

Balozi Luvanda akiwa ndugu Yahaya A Mhata pamoja na Mr j. S. Bedi chairman na Mkurugenzi Dr Aneet (saree ya njano) wakifurahi na wanafunzi

Balozi akiwa na wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma Punjab

Picha ya pamoja ya wanafunzi na balozi na uongozi wa chuo. Baada ya kucheza basketball.


Baadhi ya wanafunzi wa Kitanzania jimbo la Punjab











Balozi Luvanda akiwa na Bw. Yahaya A Mhata, Bw. J


. S. Bedi chairman of Gian jyoti group of institutions

Dr. Aneet(director of Gian jyoti group of institutions)


Wakisikiliza risala kutoka kwa wanafunzi wa MBA Bakari Chuma and Irene Boniface


Bw Deepak Singh, akiwasha mshumaa pamoja na ndugu j. S. Bedi chairman Gian jyoti group of institutions wakiwa na Balozi Luvanda









Profesa msaidizi Mrs samarjit Gill akisoma muhtasari kuhusu chuo hicho

Hafla hii iliandikwa kwenye magazeti karibu yote ya Punjab na kimataifa


Hafla hii iliandikwa kwenye magazeti karibu yote ya Punjab na kimat


Mwanafunzi Bakari Chuma akipiga selfie akiwa na Balozi Luvanda na Mr yahaya Mhata na Mr munish ambaye ni guide wa rose garden.



Mwenyekiti J. S. Bedi na mwanafunzi wa secondary Gian jyoti global schools. Baada ya muheshimiwa kucheza basketball na wanafunzi. Muheshimiwa ni mpenzi wa michezo

Mkurugenzi wa Chuo Dr Aneet pamoja na wanafunzi wakisubiri kumpokea balozi

Mwanafunzi Mariam akiwa amevalia vazi linalovaliwa pindi kiongozi ama mtu mashuhuri akiwa anapokewa.

Balozi Baraka luvanda akitoa hotuba kwa wanafunzi na wageni waalikwa


.


Balozi Luvanda akiwasha mshumaa kuashiria kuanza kwa hafla hiyo

Wanafunzi Wakisikiliza hotuba kutoka kwa balozi

Mwambata wa elimu ubalozi wa Tanzania nchini India Bw. Yahya Mhata akipokea shada la maua toka kwa Mwenyeiti wa Gian jyoti groups of institutions Mr J. S. Bedi kushoto

Wanafunzi kutoka mataifa mbali mbali kama Cuba, Mexico, Brazil, Oman, Jamaica, Ghana, Kenya, uganda, Botswana wakisikiliza hotuba ya balozi


H.E. BARAKA H. LUVANDA (high commissioner, United republic of Tanzania, ndugu Yahaya A Mhata (Education liaison officer, United republic of Tanzania, Mwenyeiti wa Gian jyoti groups of institutions Mr J. S. Bedi kushoto kwa balozi, na Mr Gurdeepak Singh (Dean of international students). And baadhi ya wanafunzi wa kitanzania(mariam Sunday na Vivian Omar) na wengine kutoka mataifa mbalimbali.

Muheshimiwa balozi akiwa ndani ya gari yake akiaga baada ya sherehe kumalizika.


Wanafunzi Mariam, Irene na Vivian wakiwa wamevalia nguo za kipunjab tayari kumpokea muheshimiwa balozi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad