Dini : Askofu Malususa Aongoza Maelfu ya Wakazi wa Dar es Salaam katika Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Monday 6 November 2017

Dini : Askofu Malususa Aongoza Maelfu ya Wakazi wa Dar es Salaam katika Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa



Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Alex Malasusa akiongoza Maelfu ya Waumini wa KKKT wa Dayosisi hiyo katika Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa,iliyofanyika jana Uwanja wa Taifa,jijini Dar.


Naibu Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Mission na Uinjilisti Mchungaji, Boniface Kombo akiongoza Lutrijia wakati wa Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa.

Mchungaji Lewis Hiza akisoma somo la pili wakati wa Ibada ya Miaka 500 ya Matengezo ya Kanisa la KKKT iliyoadhimishwa na Dayosisi ya Mashariki na Pwani katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam

Mchungaji Muke Najua kutoka nchini Afrika kusini akitoa mahubiri wakati Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa hilo iliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam

Kundi la watoto zaidi ya 4000 waliopata Ubarikio wa Kipaimara wakati wa Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa la KKKT Duniani yaliyofanyika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Wachungaji mbalimbali wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani wakito ubarikio kwa Vijana wa kanisa hilo amabo wamepata kipaimara leo katika Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa.

Wachungaji mbalimbali wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani wakito ubarikio kwa Vijana wa kanisa hilo amabo wamepata kipaimara leo katika Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa.

Waumini wa Kanisa la KKKT wakiwa katika Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Watoto wa Shule ya Jumapili wakiwa katika alaiki wa Kanisa la KKKT wakiwa katika Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Alex Malasusa akiwa katika Maandamano ya kuingia Uwanjani wakati wa Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva akiwa wakati wa Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa

Waziri Mkuu wa Zamani Fredrick Sumaye akiwa na Meya wa Jiji la Dar es Salaam wakati wa ibada ya miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa



Waumini wa Kanisa la KKKT wakiwa katika Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment