Uteuzi : Rais Dk. Magufuli Amefanya Mabadiliko katika safu ya Makatibu wakuu, Naibu Makatibu na Wakuu wa Mikoa kwa kuteua, kupandisha vyeo na kubadilisha vituo vya kazi - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


27 Oct 2017

Uteuzi : Rais Dk. Magufuli Amefanya Mabadiliko katika safu ya Makatibu wakuu, Naibu Makatibu na Wakuu wa Mikoa kwa kuteua, kupandisha vyeo na kubadilisha vituo vya kazi




Uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu wao

Ofisi ya Rais Ikulu - Katibu Mkuu Alifayo Kidata

Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na utawala Bora - Katibu Mkuu Dr. Lawrian Ndumbaro
 Naibu Katibu Mkuu - Bi. Dorothy Mwaluko

Ofisi ya Rais TAMISEMI - Katibu Mkuu Eng. Mussa Iyombe
 Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI Afya) - Zainabu Chaula
Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI Elimu) - Dickson Nzunda

Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira - Katibu Mkuu Eng. Joseph Kizito Manongo (alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo hiyo)
 Naibu Katibu Mkuu - Bi. Butamo Kasuka Philipo

Ofisi ya Waziri Mkuu
Kazi na Ajira - Katibu Mkuu Erick Shitindi
Bunge na Waziri Mkuu - Katibu Mkuu Bi. Maimuna Tarishi
Sera - Katibu Mkuu Faustine Kamuzora (amehamishwa kutoka ofisi ya makamu wa rais)

Wizara ya Kilimo - Katibu Mkuu Eng. Mathew Mtigumwe
Naibu Katibu MKuu - Dr. Tomas Didim Kashilila

Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Mifugo - Katibu Mkuu Dr. Maria Mashingo
Uvuvi - Katibu Mkuu Dr. Yohana Budeba

Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano
Uchukuzi - Katibu Mkuu Dr. Leonard Chamuriho
Ujenzi - Katibu Mkuu Eng. Joseph Nyamuhanga
Mawasiliano - Katibu Mkuu Dr. Maria Msasabo
Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano - Eng. Adelina Madete

Wizara ya Fedha na Mipango - Katibu Mkuu Dotto James Mgosha
 Naibu Katibu Mkuu Utawala - Bi. Suzan Mkapa
 Naibu Katibu Mkuu Fedha za Nje - Bi. Amina Shaaban
 Naibu Katibu Mkuu Sera - Dr. Hakingu M. Kazungu

Wizara ya Nishati - Katibu Mkuu Dr. Hamis Mwinyimvua (Anatoka ofisi ya Waziri Mkuu)

Wizara ya Madini - Katibu Mkuu Prof. Saimon S. Msanjila (alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu)

Wizara ya Katiba na Sheria - Katibu Mkuu Prof. Sifuni Mchome > Naibu Katibu Mkuu - Bwana Amon Mbanju

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki - Katibu Mkuu Prof. Adolph Mkenda (ambaye ni Mchumi, anatoka Wizara ya Biashara na Uwekezaji).

 Naibu Katibu Mkuu - Balozi Ramadhan Muomba Mwinyi
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Katibu Mkuu Dr. Florence Nduruka
 Naibu Katibu Mkuu - Bi. Emmaculate Peter Ngwale

Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa
Mkoa wa Manyara - Mkuu wa Mkoa ni Alexandar Pastor Mnyeti (Alikuwa DC wa Arumeru)
Mkoa wa Rukwa - Mkuu wa Mkoa ni Joachim Leonard Wangabo (alikuwa DC wa Nanyumbu)
Mkoa wa Geita - Mkuu wa Mkoa ni Bwana Robert Gabriel Lughumbi (alikuwa DC wa Korogwe)
Mkoa wa Mara - Mkuu wa Mkoa ni Adam Kigoba Ally Malima (aliwahi kuwa kwenye baraza la mawaziri awamu ya nne)
Mkoa wa Dodoma - Mkuu wa mkoa ni Bi. Christine Solomoni Mndeme (alikuwa DC wa Dodoma Mjini)
Mkuu wa Mtwara - Gelasius Gasper Byakanwa (alikuwa DC wa Hai)

Uteuzi wa Mabalozi
Dr. Aziz P. Mlima - Ameteuliwa kuwa Balozi (alikuwa Katibu Mkuu wizara mambo ya nje)
IGP Mtaafu Ernest Mangu - Ameteuliwa kuwa Balozi

Hawa Vituo vyao vya kazi vitatangazwa.
Wote wanatarajiwa kuapishwa kesho saa nane mchana.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad