

kikosi cha timu ya Scopion ya Arusha kabla ya kuanza mchezo wao na Bandari Tanga ambapo Bandari Tanga iliendelea kung'ara kwa kuibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 kwenye mchezo uliochezwa kwenye viwanja vya KCMC Mjini Moshi





Wachezaji wa timu ya Bandari Tanga wakichuana na timu ya Scopion ya Arusha ambapo Bandari Tanga iliendelea kung'ara kwa kuibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 kwenye mchezo uliochezwa kwenye viwanja vya KCMC Mjini Moshi

Wachezaji wa timu ya Bandari Tanga wakipewa mawaidha na Kocha Mkuu wa timu hiyo,Mohamed Fazal wakati wa mapumziko katika mchezo wa michuano ya kikapu ya Kilimanjaro Cup ambapo Bandari Tanga illibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 ambapo leo Bandari watawavaa timu ya Mtwara kushoto ni


Timu ya Scopion ya Arusha Wachezaji wa timu ya Bandari Tanga wakiwa kwenye benchi lao wakifuatilia kwa umakini mchezo baina yao na timu ya Scopion ya Arusha ambapo Bandari Tanga iliendelea kung'ara kwa kuibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 kwenye mchezo uliochezwa kwenye viwanja vya KCMC Mjini Moshi

Mchezaji wa timu ya Bandari Tanga akihojiwa mara baada ya timu hiyo kuibuka na ushindi wa vikapu 91-60 katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa KCMC mjini Moshi . Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
No comments:
Post a Comment