Burudani : Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, Tukuyu Mbeya - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Sunday 24 September 2017

Burudani : Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, Tukuyu Mbeya



Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (wa tatu kushoto) akiwa na baadhi ya viongozi wakicheza pamoja na wasanii wa kikundi cha Ngoma cha Wasonjo kutoka Ngorongoro, wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani

Wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha Masebe Rungwe, wakicheza jukwaani wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani

Wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha Keifo Kyela, wakishambulia jukwaa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani

Wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha Kanengwa, wakishambulia jukwaa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani

Wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha Lipango Mbozi Mkoa wa Songwe, wakishambulia jukwaa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani

Majaji wa shindano la ngoma Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, wakifuatilia burudani zilizokuwa zikiendelea jukwaani wakati wa Tamasha hilo kwenye Uwanja wa Tandale, Tukuyu. Picha na Muhidin Sufiani

Wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha Lipango Mbozi Mkoa wa Songwe, wakishambulia jukwaa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani

Wasanii wa kundi la kughani mashahiri ya Asili, Mwandurusa kutoka Kyela, wakighani mashahiri yao jukwaani wakati wa Tamasha hilo.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (wa tatu kulia) akiwaongoza baadhi ya viongozi na wadau kucheza Kwaito jukwaani wakati wa Tamasha hilo.
Mwanadada maarufu wa kuchezea mpira,Hadhara Charles, akionyesha umahiri wake jukwaani wakati wa Tamasha hilo. Picha na Muhidin Sufiani

Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akimtunza fedha mwanadada, Hadhara Charles, maarufu wa kuchezea mpira,baada ya kuonyesha umahiri wake jukwaani katika Tamasha hilo. Picha na Muhidin Sufiani

Wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha Wasonjo kutoka Ngorongoro, wakicheza ngoma yao ya asili wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani

Waratibu wakimsindikiza msanii wa filamu nchini Senga, wakati akiwasili uwanjani hapo na ‘kuchafua hali ya hewa’ baada ya kuanza kufuatwa na wananchi kila alikopita kiasi cha kumzuia njia asipite kuingia eneo maalumu waliloandaliwa wasanii wenzake. Picha na Muhidin Sufiani

No comments:

Post a Comment