Na Freddy Macha London : Mtanzania Ashinda Tuzo ya Mhasibu Kiongozi London 2017 - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 14 August 2017

Na Freddy Macha London : Mtanzania Ashinda Tuzo ya Mhasibu Kiongozi London 2017


Baada ya kuhitimu Uhasibu na kufanya kazi kwa bidii na nidhamu Mtanzania Joyce Materego aliteuliwa mmoja wa viongozi bora, London, karibuni. Mahojiano yake na KSTL , yadokeza kifupi ilikuwaje

No comments:

Post a Comment