Matukio: Rais Dk. Magufuli akutana na Bilionea Bill Gates na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 10 August 2017

Matukio: Rais Dk. Magufuli akutana na Bilionea Bill Gates na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. Bill Gates aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017.







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akizungumza na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. ill Gates aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiagana na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. Bill Gates aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017. Pamoja nao ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu (kulia), Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dk Charles Tizeba (wa tatu Kushoto), Msaidizi wa rais Masuala ya diplomasia Bi. Zuhura Bundala (kushoto) pamoja na maafisa alioongozana nao Bw. Bill Gates

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akisalimiana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Immi Patterson aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwa katika mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Immi Patterson aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akimsindikiza Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Immi Patterson aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiagana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Immi Patterson aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment