Matukio :Dkt. Shein atembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya kaskazini ”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


14 Aug 2017

Matukio :Dkt. Shein atembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya kaskazini ”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja



Baadhi ya Wananchi waliofika kumpokea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipofika katika Kijiji cha Mbuyu Maji leo alipofanya ziara ya kutembelea Kijiji hicho sambamba na kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya kaskazini”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Sheha wa Shehia ya Mbuyu Maji Nd,Vuai Farahani alipokuwa akielezea Mapungufu na Matatizo mbali mbali yanayokabili katika shehia hiyo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipofanya ziara ya kutembelea Kijiji hicho sambamba na kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya kaskazini”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na wanakijiji cha Mbuyu Maji wakati alipokuwa akiwaahidi kwa kupunguza matatizo ya Kijiji hicho leo alipotembelea Wilaya ya kaskazini”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuzindua jengo la kituo cha Maafa cha KmKm Nungwi akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya maendeleo Wilaya ya Kaksazini ”A” Unguja leo,(kushoto) Waziri wan chi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir,(kulia) Mkuu wa KMKM Komodoo Mussa Hassan Musa



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kuhusu mawasiliano ya KMKM wakati wa kutoa huduma inapotokea maafa baharini ,baada ya kuzindua jengo la kituo cha Maafa cha KmKm Nungwi akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya maendeleo Wilaya ya Kaksazini ”A” Unguja leo,(kushoto) Waziri wan chi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir,(kulia) Mkuu wa KMKM Komodoo Mussa Hassan Musa

Baadhi ya Makamanda wa Kikosi cha KMKM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Makamanda hao leo na Viongozi mbali mbali baada ya kuzindua jengo la kituo cha Maafa cha KmKm Nungwi akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya maendeleo Wilaya ya Kaksazini ”A” Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakati alipowasili katika Kijiji cha Nungwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo kuweka Jiwe la msingi Maskani ya CCM Tushikamane,akiwa katioka ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Mendeleo katika Wilaya hiyo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakati alipowasili katika Kijiji cha Nungwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo kuweka Jiwe la msingi Maskani ya CCM Tushikamane,akiwa katioka ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Mendeleo katika Wilaya hiyo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuzindua jengo la kituo cha Maafa cha KmKm Nungwi akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya maendeleo Wilaya ya Kaksazini ”A” Unguja leo,(kushoto) Waziri wan chi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir,(kulia) Mkuu wa KMKM Komodoo Mussa Hassan Musa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wanchama wa Chama cha Mapinduzi CCM alipokuwa akisalimiana nao leo baada ya kuwekaji wa Jiwe la msingi Maskani ya CCM Tushikamane,katika Kijiji cha Nungwi Wilaya ya Kaskazinmi “A” Unguja akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Mendeleo katika Wilaya hiyo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katuikati) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Ndg. Maneno Mohamed Maneno (kushoto) wakati alipotembelea kukagua Jengo la Ofisi ya Bandari Mkokotoni leo pamoja na Eneo Litakalojengwa Tuta la Bandari ya Mkokotoni akiwa katika ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya Kaskazini “A”Unguja leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitembelea Jengo la Ofisi ya Bandari Mkokotoni leo na kupata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Nd,Maneno Mohamed Maneno (katikati)pia alikagua Eneo Litakalojengwa Tuta la Bandari ya Mkokotoni akiwa katika ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya Kaskazini “A”Unguja leo

Baadhi ya wafanyaakazi wa Shirika la Bandari Mkokotoni wakiwa katika hafla ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipotembelea Jengo la Ofisi ya Bandari Mkokotoni leo pia kukagua Eneo Litakalojengwa Tuta la Bandari ya Mkokotoni akiwa katika ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya Kaskazini “A”Unguja leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Shirika la Bandari la Zanzibar Nd,Salim Udi (kushoto) wakati alipofika kukagua Eneo Litakalojengwa Tuta la Bandari ya Mkokotoni akiwa katika ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya Kaskazini “A”Unguja leo,(wa pili kulia) Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na UIsafirishaji Mhe.Ali Abeid Karume. Picha zote na IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad