Muziki : AY na Mwana FA Kulipwa pesa zao na Tigo - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


21 Jul 2017

Muziki : AY na Mwana FA Kulipwa pesa zao na Tigo


 Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali rufaa iliyofunguliwa na kampuni ya Tigo kupinga kuwalipa wasanii AY na MwanaFA Tshs 2,185,000,000 kwa kutumia nyimbo zao bila kulipa. Wakili Albert Msando ambaye anawakilisha wasanii hao amesema huu ni ushindi muhimu kwa sanaa ya Tanzania. Amenukuliwa akisema "ni haki yao kulipwa kwa sababu ni kazi zao ambazo zinalindwa kisheria".

Post Top Ad