Matukio : Safari ya Mwisho ya Mtangazaji wa Redio 93.7 EFM, Seth Katende - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


12 Jul 2017

Matukio : Safari ya Mwisho ya Mtangazaji wa Redio 93.7 EFM, Seth KatendeMSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akitoa salamu zake wakati wa kuagwa kwa mwili wa Marehemu Seth Katende leo kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akitoa salamu zake kwa famila, ndugu na jamaa.

Baba wa marehemu, Mzee Katende (wa kwanza kushoto) akiwa ndugu zake marehemu wakiaga mwili wa Marehemu Seth Katende leo kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar.


Mke pamoja na mtoto wa marehemu wakiaga mwili


MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akiaga mwili mwili wa Marehemu Seth Katende kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar

Meya wa Ubungo, Boniphace Jacob akiaga mwili mwili wa Marehemu Seth Katende jijini Dar

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akiaga mwili mwili wa Marehemu Seth Katende jijini Dar.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akiaga mwili mwili wa Marehemu Seth Katende  jijini Dar

Mkurugenzi na mzalishaji wa vipindi waClouds Media Group, Ruge Mutahaba(mwenye shati nyeusi) akiaga mwili mwili wa Marehemu Seth Katende jijini Dar

Mtangazaji wa Clouds FM Gardner G Habash akiaga mwiliMtangazaji wa EFM, Mpoki 'Mwarabu wa Dubai'( katikati) akiwa ameshikiliwa mara baada ya kuanga mwili wa Marehemu Seth Katende  jijini Dar
Sehemu ya Waombolezaji wakiwa katika Viwanja Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam kunakofanyika misa ya kuaga mwili wake hivi sasa, ambapo baada ya kumalizika kwa misa hiyo, Mwili wa Marehemu utapumzishwa kwenye nyumba yake ya Milele katika Makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es salaam mchana wa leo.Baba wa marehemu, Mzee Katende akiwa ameshikiliwa mara baada ya kuaga mwili wa Mwanae Marehemu Seth Katende  kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar


Jeneza lenye mwili wa Marehemu Seth Katende ambaye alikuwa Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha 93.7 EFM kupitia kipindi cha Ubaoni, likiwa katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam kunakofanyika misa ya kuaga mwili wake hivi sasa, ambapo baada ya kumalizika kwa misa hiyo, Mwili wa Marehemu utapumzishwa kwenye nyumba yake ya Milele katika Makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es salaam mchana wa leo.

Post Top Ad