Matukio : Hafla ya Tuzo za SuperBrands Afrika Mashariki Zafanyika Jijini Dar Es Salaam - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 12 July 2017

demo-image

Matukio : Hafla ya Tuzo za SuperBrands Afrika Mashariki Zafanyika Jijini Dar Es Salaam


IMG_2892
Mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jaffer akiongea mapema leo katika halfa ya kukabidhi vyeti vya kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika Mashariki iliyofanyika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski, Dar es Salaam. Picha na Kajunason/Cathbert Kajuna.
IMG_2912
Wakurugenzi na wawakilishi wa kampuni yaliyopata tuzo ya Superbrands wakimsikiliza mkurungenzi wakati wa hafla ya kutoa vyeti kwa kampuni zenye sifa katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski, Dar es Salaam.
IMG_2921
Mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jafer (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya ChemiCotex (kushoto), Sumit Bhatnagar watengenezaji wa dawa ya meno ya 'Whitedent' cheti cha kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika Mashariki.
IMG_2930
Mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jafer (kulia) akimkabidhi Mhariri Mkuu wa ITV Tanzania, Steven Chuwa (kushoto) cheti cha kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika Mashariki.
IMG_2949
Mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jafer (kulia) akimkabidhi Mhariri Mkuu wa The Guardian Ltd, Jesse Kwayu (kushoto) cheti cha kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika Mashariki.
IMG_2973
Mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jafer (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya MO Dewji, Barbara Gonzalez (kushoto) cheti cha kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika Mashariki.
IMG_2981
Mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jafer (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Red Gold, Darsh Dandit (kushoto) cheti cha kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika Mashariki.
IMG_2997
Mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jafer (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Wateja Maalum wa benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto) cheti cha kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika Mashariki.
IMG_3039
Wakurugenzi na wawakilishi wa kampuni yaliyopata tuzo ya Superbrands wakiwa na mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jaffer (wa tatu kutoka kushoto).

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *