Matukio : Sheikh Abubary Bin Zubeiry Ashiriki Futari Mjini Moshi - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Sunday, 25 June 2017

demo-image

Matukio : Sheikh Abubary Bin Zubeiry Ashiriki Futari Mjini Moshi





_MG_1641
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakichukua Chakula wakati wa hafla fupi ya Futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania na kufanyika ofisi za Bakwata mkoa wa Kilimanjaro.
IMG_1633
Sheikh Mkuu Mufti waTanzania, Sheikh Abubakary Bin Zubery akishiriki Futari katika Ofisi za Bakwata mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, jana. _MG_1708
Sheikh Mkuu Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubery akiwa na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania, Jackson Lohay wakati wa Futari iliyoandaliwa na Benki hiyo katika Ofisi za Bakwata mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
IMG_1667
Baadhi ya waumini wakishiriki Futari hiyo
_MG_1645
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira akishiriki Futari hiyo
IMG_1698
Kaimu Mkurugenzi idara ya maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania, Jackson Lohay akizungumza wakati wa halfa fupi ya Futari iliyoandaliwa kwa Waislamu wa mkoa wa Kilimanjaro na Benki hiyo .
IMG_1675
Mwenyekiti wa Halmashari ya Bakwata Taifa, Alhaj Sheikh Hamis Mataka akizungumza kwa niaba ya Sheikh Mkuu Mufti wa Tanzania Abubakary Bin Zubery wakati wa Futari hiyo.
IMG_1723
Sheakh Mkuu Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakary Bin Zubery akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongzi wa Dini ya Kiislamu baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya Futari
IMG_1734

Wafanyakazi wa Benki ya Azania tawi la Moshi wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, wengine ni Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Mhandisi Aisha Amour na Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi, Hajira Mmambe.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *