Kutoka Marekani : Sala ya Eid El Fitr DMV Leo - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.

Post Top Ad

25 Jun 2017

Kutoka Marekani : Sala ya Eid El Fitr DMV LeoPolisi akielekeza Magari sehemu ya maegesho siku ya Jumapili June 25, 2017 siku Waislaam Watanzania wa DMV walipojumuika pamoja na Waislam wenzao kwenye sala ya Eiid el Fitri iliyofanyika kwenye musikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Silver Spring, Maryland.

Watanzania Waislam DMV wakijumuika pamoja na Waislam wenzao DMV kwenye sala ya Eiid el Fitri iliyofanyika kwenye muikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Silver Spring, Maryland.

Sala ya Eid el Fitr ikiendelea.

Ukodak momentPost Top Ad