KWA SIMU TOKA LONDON : Mahojiano na Janet Chapman - Nini Faida ya Ujenzi wa Ramani za Vijijini Afrika? - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


14 May 2017

KWA SIMU TOKA LONDON : Mahojiano na Janet Chapman - Nini Faida ya Ujenzi wa Ramani za Vijijini Afrika?


KWA SIMU TOKA LONDON – Mahojiano na Janet Chapman – Nini Faida ya Ujenzi wa Ramani za Vijijini Afrika? https://www.youtube.com/watch?v=vmPk-vLtjD4&t=18s Janet Chapman ni kati ya Waingereza wanaojitolea (bila malipo ), miaka mingi kujaribu kusaidia Afrika, hususan Tanzania. Akiwa mwanachama wa Shirika la Misaada ya Maendeleo Tanzania (TDT) na Jumuiya ya Waingereza na Watanzania (BTS) karibuni amejihusisha na suala la kutokomeza Ukeketaji. Katika mahojiano na "Kwa Simu Toka London" Mei 11, 2017 anafafanua mradi mpya wa kujenga ramani vijijini Tanzania, yaani "Mapping". Je maana na faida yake ni ipi? Kufaidi zaidi mahojiano bofya CC dirisha la You Tube upate maelezo yaliyoandikwa kitaaluma kuelewa kinachosemwa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad