Matukio : Taswira mbalimbali ya Uzinduzi wa Majengo ya Hosteli za Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.

Post Top Ad

16 Apr 2017

Matukio : Taswira mbalimbali ya Uzinduzi wa Majengo ya Hosteli za Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa alipowasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mama Janeth Magufuli na kulia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mama Janeth Magufuli na kulia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga akiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Nyuma yake ni Mama Janeth Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea salutitoka kwa kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni SACP Suzana Kaganda wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi huku Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Eng Stella Manyanya na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Peter Serukamba wakfurahia wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam.
 
Wimbo wa Taifa

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Michael Wambura Isamuhyo akipiga saluti wakati wa wimbo wa Taifa

Kwaya ya Chuo Kikuu ikitoa buridani

Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali

Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali

Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali

Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali

Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali

Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali

Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali

Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali

Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam

Wasanii nyota wa Bongo Movie na wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam

Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam

Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam

Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam

Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam

Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam

Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam

Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam

Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala akisoma muhtasali wa mradi huo

Kwaya ya UDSM ikitumbuiza

Wanahabari wa Global TV wakiwa kazini kurusha tukio mubashara

Mkuu wa Idara ya Sanaa za Ubunifu Dkt. Kedmon Mapana akiongoza kwaya kwa ustadi mkubwa

Wahadhiri na wageni waalikwa wakifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Wahadhiri wakifurahia hotuba ya Rais

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsifia Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga kwa kufanikisha mradi huo kwa muda wa chini ya mwaka mmoja na kwa gharama nafuu kabisa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi

Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Profesa Kitila Mkumbo akiitikia jambo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi

Mama Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Tawala wa wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wahadhiri waandamizi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakielekea eneo la uzinduzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo baada ya kuzindua rasmi majengo hayo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba baada ya kuzindua rasmi majengo hayo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba baada ya kuzindua rasmi majengo hayo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba baada ya kuzindua rasmi majengo hayo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuzindua rasmi majengo hayo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mabweni baada ya kuzindua rasmi majengo hayo

Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Peter Serukamba wakiangalia mabweni baada ya kuzindua rasmi majengo hayo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na maprofesa mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi wa majeshi na chuo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa wanafunzi na chuo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wadau wa chuo na viongozi mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wadau wa chuo na viongozi mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala baada ya kuhitimishwa kwa hafla hiyo. PICHA NA IKULU

Post Top Ad