Matukio : Mvua Kubwa yasababisha Mafuriko , Bukoba - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Saturday, 8 April 2017

demo-image

Matukio : Mvua Kubwa yasababisha Mafuriko , Bukoba


DV2A5685


Faustine Ruta, Bukoba

ZAIDI ya watu 70 wameokolewa na Serikali baada ya kukumbwa na mafuriko yaliyotokana na mvua iliyoanza kunyesha kuanzia saa 9 usiku.
Kauli hiyo ilitolewa na mkuu wa wilaya ya Bukoba Deodatus Kinawilo wakati alipo hojiwa na waandishi wa habari katika Kata ya Bakoba mtaa wa nyakanyasi.
Kinawilo alisema kuwa nyumba zote zilizoko kandokando ya mto kanoni zote zimeathiliwa na maji kiasi kwamba tumetumia mitumbwi ya uvuvi kuvusha watu.


“Niseme tu mpaka sasa hakuna kifo chochote kile Zaidi ya vitu kuhalibika kwa kulowa maji”alisema kinawilo
Aidha mkuu wawilaya alisema kuwa kuwa wananchi wachukue tahadhali pindi mvua zinapo nyesha tu watoke nje ya nyumba kwa usalama Zaidi.
Naye Josefati Bonge mkazi wa Omukigusha alisema kuwa katika nyumba yake hakuna kilichobakia kikiwa kizima kwani nimetoka mimi kama nilivyo na ninamshukuru mungu familia yangu haikuwepo.
“Kiukweli kuna kila sababu ya kuhama maeneo kama haya maana nihatali kwa binadamu mfano’ waliokuwa wamelala fofo wanahali gani hivyo kunatakiwa kuchua hatua mapema ili kuhamia sehemu stahiki”alisema Bonge
Anitha Mziba mkazi wa Nyakanyasi alisema kuwa yeye katika familia yake hakuna alie umia Zaidi ya vitu vyote vyandani hakuna kilichotoka.

“Yani nimewabeba watoto wangu begani mmoja baada ya mwingine wakati huo mimi maji yakiwa yamenifikia kwenye shingo kwakweli nihatali”alisema MzibaDV2A5687
DV2A5691
DV2A5698DV2A5720DV2A5704
DV2A5724
DV2A5725
DV2A5733
DV2A5744
DV2A5745
DV2A5747DV2A5759Wakaazi wa hapa Tangu usiku saa 9 waliondoka!
DV2A5798Mkazi wa Omukigusha akisaidiwa kuvutwa juu baada ya kuanguka shimoni asubuhi leo kwenye mufda wa saa nne. Picha na habari na Faustine Ruta
DV2A5802
DV2A5812
DV2A5824
DV2A5833Prince Motel


DV2A5835
Crane Lodge and Tours
DV2A5842
DV2A5853
DV2A5858
Hii ni nyumba ya Wageni...lakini inasemekana Usiku hawakupata usingizi kabisa!
DV2A5863Hivi ndivyo ilivyokuwa Asubuhi ya leoDV2A5904
Eneo la Ziwa Victoria...Ufukweni
DV2A5914
Ufukweni Ziwa Victora
DV2A5923
Patashika wakazi wakiokoa Nyasi kwa ajili ya Mifugo yao
DV2A5938
Mkazi wa Nyakanyasi akivuka huku akiwa hana matumaini Aendako
DV2A5943

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *