Maisha : Mke wa Rais, Mama Janeth Asherehekea Birthday kwa Kutoa Misaada Hospitalini - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 10 April 2017

demo-image

Maisha : Mke wa Rais, Mama Janeth Asherehekea Birthday kwa Kutoa Misaada Hospitalini

oc1
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akilakiwa na Dkt. Julius Mwaisalage Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam alikoenda kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
oc2
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na mganga mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Dkt. Grace Magembe wakati alipowasili kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
oc3
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Diwani wa Kata ya Kivukoni Mhe. Henry Sato Massaba wakati alipowasili kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
oc4
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo alipowasili kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
oc5
Sehemu ya wageni na wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road wakifuatilia hotuba zikitolewa wakati wa hafla hiyo
oc6

oc7

oc8

oc9

oc10
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na meza kuu wakimsikiliza Dkt. Julius Mwaisalage Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam
oc11
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema akimkaribisha Mama Janeth Magufuli kuongea
oc12

oc13
Sehemu ya wageni na wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road wakishangilia hotuba zikitolewa wakati wa hafla hiyo
oc14

oc15
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akikaribishwa kuongea na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
oc16
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiongea machache wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
oc18

oc19

oc20

oc21

oc22
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimsikiliza Mkuu wa Wilaya Mhe Sophia Mjema akitoa maelezo mafupi ya zawadi ambazo kinamama wa Wilaya za Temeke na Ilala wametoa kumuunga mkono Mama magufuli wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
oc23
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea toka kwa Mkuu wa Wilaya Mhe Sophia Mjema sehemu ya zawadi ambazo kinamama wa Wilaya za Temeke na Ilala wametoa kumuunga mkono Mama magufuli wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
oc24

oc25
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dkt. Julius Mwaisalage alizopokea toka kwa Mkuu wa Wilaya Mhe Sophia Mjema kama sehemu ya zawadi ambazo kinamama wa Wilaya za Temeke na Ilala wametoa kumuunga mkono Mama magufuli wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
oc26
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dkt. Julius Mwaisalage misaada ambayo ametoa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi hiyo jijini Dar es salaam.
oc27

oc28
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwapa pole wagonjwa wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi hiyo jijini Dar es salaam.
oc29
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi zawadi kwa mmoja wa wagonjwa katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa na wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam.
oc30
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiomba dua na baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam.
oc31
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli alipotembelea wodi za Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
oc32
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dkt. Julius Mwaisalage misaada ambayo ametoa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi hiyo jijini Dar es salaam.
oc33
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi msaadammoja wa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam.
oc34
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiomba dua na baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam.
oc35
Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Theresia Mbando akimshukuru Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli kwa kutembelea Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
oc36
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipongezwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala kwa kutembelea Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
oc37

oc38

oc39
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na meza kuu katika picha ya pamoja na uongozi wa Serikali za mitaa za Kivukoni na Sea View Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
oc40
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na meza kuu katika picha na Skauti alipotembelea Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
oc41
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli alipotembelea Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
oc42
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimia ndugu waliofika kuona wagonjwa alipotembelea Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
oc43

oc44
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na Dkt. Julius Mwaisalage Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam baada ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye. PICHA ZOTE NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *