Maisha : Happy Birthday my fellow blogger, Cathbert Kajuna - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 10 April 2017

demo-image

Maisha : Happy Birthday my fellow blogger, Cathbert Kajuna


cath
Leo Aprili 10 ni siku ya kuzaliwa kwangu Blogger Cathbert Angelo Kajuna mmiliki wa Kajunason Blog (www.kajunason.com), Namshukru sana mwenyezi Mungu kwa kunilinda mpaka kufika hapa nilipo na kunipa nguvu, ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale, hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo.





Natoa shukrani kubwa kwa familia yangu, ndugu, jamaa na marafiki wote ikiwa na member wa TBN members na wote waliweza kuwa nami katika safari yangu ya maisha mpaka hii leo namuomba Mwenyezi Mungu aniongezee uhai na uzima ...

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *