Elimu :Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.

Post Top Ad

22 Apr 2017

Elimu :Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika Viwanja vya Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnanzo Mmoja Mjini Zanzibar katika Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Utumishi wa Umma na Utawala Bora pia Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Uchangiaji madawati Mhe.Haroun Ali Suleiman alipowasili katika Viwanja vya Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnanzo Mmoja Mjini Zanzibar katika Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Utumishi wa Umma na Utawala Bora pia Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Uchangiaji madawati Mhe.Haroun Ali Suleiman wakati wa Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Waziri wa Elimu Bila Malipo Mhe.Riziki Pembe Juma pia Makamo pia Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Uchangiaji madawati wakati wa Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar

Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar

Baadhi ya watendaji wakuu wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar

Baadhi ya Naibu Katibu Wakuu wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Uzinduzi wa hamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar

Wajumbe wa Sekretari ya Kamati Maalum ya Uchangiaji wa Madawati wakiwa tayari kunukuu kila mchango uliotolewa wakati wa Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar

Wakuu wa Mikoa na Viongozi wengine mbali mbali wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar

Baadhi ya wajumbe wa Kamati wa Uchangiaji wa Madawati iliyoteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakimsikiliza Rais alipokuwa akifanya uzinduzi na uhamasishaji huo

Baadhi ya Viongozi wengine mbalimbali wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Picha zote na IKULU.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad