Muziki :Mwanamuziki Ally Kiba Apokelewa Kishujaa - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


1 Mar 2017

Muziki :Mwanamuziki Ally Kiba Apokelewa KishujaaAlly Kiba akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini Afrika Kusini mara baada ya kukabidhiwa tunzo yake ya MTV kama msanii bora wa kiume Afrika

Ally Kiba akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini Afrika Kusini mara baada ya kukabidhiwa tunzo yake ya MTV kama msanii bora wa kiume AfrikaMashabiki wa AlyKiba ambao walifika katika uwanja wa ndege wa JNA jijini Dar es Salaam wakiwa na mabango kama wanavyoenekana pichani

Kiba kielekea kwenye gari maalum aliyoandaliwa mara baada ya kuzngumza na mashabiki wake

Aly Kiba akiwa na Meneja wake Seven Mosha mara baa da ya kuingia katika gari hiyo maaalum

Ally Kiba akiwa katika mitaa ya Kariakoo huku akiwa amezunguskwa na mashabiki mbalimbali ambao walipata fursa ya kuona Tunzo yake ya Mtv base kama msanii bora wa kiume Afrika

Mashabikiw a Ally Kiba wakiwa wamezunguka gari ya msanii huyo katika mitaa ya Kariakoo

Ally kiba akiwa katika mtaa wa Mueza eneo alikokokulia akiwa na Tunzo yake

Ally Kiba akiwa na Ndugu Yake Abdul Kiba juu ya gari la wazi katika mita aya Buguruni

Ally Kiba akimkabidhi Tunzo yake Mama yake mzazi maarufu kama Mama k

Mama K ambaye ni mama mzazi wa Ally Kiba akionyesha Tunzo ya msani huyo juu

Baadhi ya Mashabikiwa Ally Kiba wakiwa katika Pikipiki na shangwe ya Alli ya juu

Post Top Ad