Muziki : Dinner Party ya Ally Kiba yafana - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


2 Mar 2017

Muziki : Dinner Party ya Ally Kiba yafanaAlly Kiba akiwa anazungumza na wadau walifika katika hafla ya chakula cha jioni na wasani wenzie na Waandishi wa habari

Msanii Omy Dimpoz, Billnas na Peti Man wakuache wakijadili jambo kwenye hafla ya chakula cha jioni cha Ally Kiba

Rafiki wa Karibu wa Ally Kiba , Jokate Mwengelo akijadili jambo na jirani ayake katika hafla hiyo

Jokate akiwa katika picha ya pozi wakati anaingia katika hafla hiyo.

Omy Dimpoz, Idrisa Sultan na Kassim Mganga wakifuraia jambo wakati wa hafla hiyo

Ally Kiba akisalimiana na Mwana Fa wakati wa hafla hiyo

Post Top Ad