Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya SMZ katika Ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 1i kwa mwaka 2017 (BAMATA) yaliyofanyika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja.
Maaskari wa Vikosi mbali mbali vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika sherehe za Ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 kwa mwaka 2017yaliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Maaskari wa Vikosi mbali mbali vya Ulinzi na Usalama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 kwa mwaka 2017 katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika sherehe zilizofanyika.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakiangalia ratiba Ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 kwa mwaka 2017 (BAMATA) na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance S. Mabeyo (kushoto) katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika sherehe zilizofanyika (kulia) Waziri wa Ulinzi Majeshi ya Kujenga Taifa Mhe,Dkt.Hussein Mwinyi.
Kikosi cha Maaskari Kanda ya JKT wakipita mbele ya Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na kutoa heshima wakati ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 ya mwaka 2017 (BAMATA)katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika sherehe zilizofanyika.
Maaskari wakiimba wimbo maalum wakati wa ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 ya mwaka 2017 (BAMATA)katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika sherehe zilizofanyika leo.
Kikosi cha Maaskari Jeshi la Wananchi JWTZ Kanda ya Ngome wakipita mbele ya Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na kutoa heshima wakati ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 ya mwaka 2017 (BAMATA)katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika sherehe zilizofanyika.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 kwa mwaka 2017 katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 kwa mwaka 2017 katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,Mkoa wa Mjini Magharibi, [Picha na Ikulu] 18 /03/2017.
No comments:
Post a Comment