Matukio : Naibu Meya Ilala, Atembelea Ofisi za Michuzi Media Group (MMG) - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 26 March 2017

Matukio : Naibu Meya Ilala, Atembelea Ofisi za Michuzi Media Group (MMG)


Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto akisalimiana na Msimamizi wa Chumba cha Habari, Cathbert Kajuna wakati alipotembelea ofsi za MMG leo.


Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto, akisalimina na mwandishi mwandamizi na Msimamizi wa Habari za Mahakamani, Karama Kenyunko wakati alipofanya ziara katika ofisi za MMG.

Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto akiwa ndani ya ofisi ya MMG.

Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto akifurahi jambo na Mwandishi Mwandamizi wa Michuzi Blog, Chalila Kibuda

Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto, Akisalimiana na Mkurugenzi wa Michuzi TV, Karim Michuzi wakati alipofanya ziara ya kutembelea chumba cha habari cha Michuzi Media Group ili kujionea jinsi wanavyofanyakazi.

No comments:

Post a Comment