Select Menu

Matukio

News

Newspapers

Nishati

Jamii

Sports

News /Arusha

Technology

» » » » » » Filamu : Filamu ya "Gate Keeper " ya Ray Kigosi Yazinduliwa.Msanii na mtayarishaji wa Filamu ya Gate Keeper, Vicent Kigosi 'Ray' akizungumza na Waandishi wa habari kabla ya kuanza kwa uzinduzi wa filamu yake ya GateKeeper

Mkurugenzi Mwenza wa Kampuni ya Rj Company Blandina Chagula 'Johari ' akiwa na baadhi ya Mashabiki wa Bongo Movie

Msanii wa filamu nchini Vicent Kigosi 'Ray' akiwa na Mwandishi na mtunzi wa filamu ya Gate Keeper Ally Yakuti kabla ya kuanza kuonyeshw akwa fimau hiyo katika ukumbi wa Quality Centre

Wasanii walioshiriki katika filamu ya Gatekeeper wakiwa katika picha ya pamoja ya zuria jekundu kabla ya kuingia katika ukumbi wa cinema

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Joyce Fissoo akizungumza na wadau wa filamu waliofika kushuhudia uzinduzi wa filamu ya Gatekeeper

Msanii wa filamu na mtayarishaji wa filamu ya Gatekeeper Vicent Kigosi akizungumza na mashabaiki na wadau wa filamu waliofika katika uzinduzi wa filamu hiyo katika ukumbi wa Quality Centre

Baadhi ya Wasanii waliofika katika uzinduzi wa Filamu hiyo wakiwa na Gambo Zigamba ndani ya ukumbi wa Quality Centre


Wadau wa filamu wakifatilia uzinduzi wa filamu hiyo kwa umakini ikiwa inaendelea

About Gadiola Emanuel

Freelance Journalist | Photographer | Blogger | ICT |PRO | Social Media Scholar. Check me on | Instagram: @wazalendo25blog | Twitter : @wazalendo25 | Facebook: Wazalendo 25 Blog
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply