Michezo : Timu ya Simba Yaibamiza Yanga Bao 2 kwa 1 - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


26 Feb 2017

Michezo : Timu ya Simba Yaibamiza Yanga Bao 2 kwa 1Wachezaji wa Simba wakishangilia mara baada ya kuichapa Yanga bao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom.

Kiungo wa kati wa Yanya Haruna Niyonzima akijaribu kumtoka beki wa Simba Janvier Bukungu

Mshambuliaji wa Simba Laudit Mavugo akiweka sawa mpira mbele ya beki wa kati wa Yanga Kelvin Yondan

Golkipa wa Yanga Deogratius Munishi akiokoampira uliopigwa na mshambualiaji wa Simba Laudit Mavugo

Kiungo wa Simba Said Ndemla akiwania mpira na kiuongo wa kati wa Yanga,Justin Zulu (Mkata umeme)

Mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajib akimtoka beki wa Yanga Mwinyi Haji katika mchezo huo ambao Simba imeshinda bao 2-1

Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la kusawadhisha liliwekwa kimyani na mshambuliaji Laudit Mavugo

Mshambuliaji wa Simba Laudit Mavugo akipiga mpira mbele ya beki wa Yanga , Andrew Vicent katika mchezo ambao Simba waliweza kutoka na ushindi wa bao 2-1

Mshambuliaji wa Yanga , Obrey Chirwa akiwania mpira mbele ya kiungo wa Simba Said Ndemla

Mshambuliaji wa Simba Laudit Mavugo akiweka swa mpira mbele ya beki wa Yanga Mwinyi haji

Wachezaji wa Simba wakiwa wamembeba winga wa kulia wa timu hiyo Shiza Kichuya mara baada ya kuipatia Simba bao la ushindi katika mchezo wake wa ligi kuu ya Viodacom Tanzania

Mameneja wa timu ya Simba wakiwa wamembeba mchezaji Shiza kichuya mara baada ya kuipatia timu hiyo bao la kuongoza katika mchezo wake dhidi ya Yanga

Mashabiki wa Yanga wakiwa wamekaa kwa huzuni mara baada ya timu yao kupigwa bao 2-1 na timu ya Simba katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania.

Mashabiki wa timu ya Simba wakishangilia kwa furaha mara baada ya timu yao kuibuka na ushindi wa bao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacoma Tanzania

Askari wa jeshi la Zimamoto wakiwa wamembeba mtu mabaye amezimia kwa furaha mara baada ya Simba kushinda

Mshambuliaji wa Simba Laudit Mavugo akimtoka beki wa kati wa Yanga Kelvin Yondani.

Waziri wa Habari Sanaa, Michezo na Utamaduni , Nape Nnauye akisalimiana na Nahodha wa Yanga Haruna Niyonzima.

Waziri wa Habari Sanaa, Michezo na Utamaduni , Nape Nnauye akisalimiana na Nahodha wa Simba Abdi Banda

Post Top Ad