Michezo /Riadha : Taswira Mbalimbali ya Mbio za Kilimanjaro Marathon 2017, Moshi Mjini Leo - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


26 Feb 2017

Michezo /Riadha : Taswira Mbalimbali ya Mbio za Kilimanjaro Marathon 2017, Moshi Mjini Leo



Mbio za Kili marathon zimefanyika leo manispaa ya Moshi mjini mkoani Kilimanjaro katika viwanja vya chuo cha ushirika ambapo wakimbiaji zaidi ya 8000 wameshiriki mbio hizo.


Mbio hizo zimefunguliwa rasmi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel majira ya saa kumi na mbili nusu asubuhi ambapo mbio za kilometa 42 zilianza, huku wale kilometa 21 wakianza mbio hizo majira ya saa moja kamili asubuh.


Mbio hizo ziligawanyika katika makundi tofauti totauti kuanzia wale waliokimbia umbali wa kilometa 42, umbali wa km 21 huku kwa upande wa walemavu wao walishindana katika mbio za umbali wa km 10 pamoja na zile za kilometa 5 ambazo hazina ushindani. kila kundi walipatikana washindi wa mbio hizo.

Washiriki wa Mbio za 21 Km wakiwa tayari kuanza kushindana katika Mbio za Kilimanjaro Marathon 2017, zilizofanyika katika viwanja vya Chuo cha Ushirika, Mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro leo.






Emanue Giniki Mshindi wa Mbio za NYIKA Mwaka huu (4446) akiwa Sehemu ya Washiriki wa Mbio za 21 KM wakichuana vikali katika moja ya njia zao mapema leo asubuhi.


Washiriki wa mbio za kilometa 10 kwa upande walemavu wakichuana vikani.


Sehemu ya wafanyakazi wa Kampuni ya mafuta ya GAPCO Tanzania wakiwa katika moja ya vituo vya maji.







EMANUEL GINIKI Akimalizia Mbio za 21 km























Magdalena Shauri Akimalizia Mbio za Kilimanjaro Marathon














































































































































No comments:

Post a Comment

Post Top Ad