Matukio : Waziri Mkuu, Majaliwa Amtembelea Mama Fatma Karume - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


11 Jan 2017

Matukio : Waziri Mkuu, Majaliwa Amtembelea Mama Fatma Karume




Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjane wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mpinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Maisara Zanzibar Januari 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakizungumza na mjane wa Rais wa kwanza wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume (katikati wakati walipomtembelea nyumbani kwake eneo la Maisara mjini Zanzibar Januari 10, 2016.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mjane wa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume wakati alipomtembelea nyumbani kwake, eneo la Maisara, Zanzibar, Januari 10, 2017.


Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimiana na Mjane wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume wakati yeye na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa walipomtembelea nyumbani kwake ENEO LA Maisara Zanzibar Januari 10, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakiongozana na Mjane wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume kutoka ndani wakati walipomtembelea mama huyo nyumbani kwake eneo la Maisara mjini Zanzibara, Januari 10, 2017.



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad