Matukio / Polisi : SACP. Mutafungwa akagua ujenzi wa kituo cha Polisi Uru - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 12 January 2017

Matukio / Polisi : SACP. Mutafungwa akagua ujenzi wa kituo cha Polisi Uru


Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,SACP,Wilbroad Mutafungwa (kushoto mwenye fimbo) akizungumza jambo wakati akikagua maenedeleo ya ujenzi wa kituo cha Polisi cha Kimanganoni Uru wilaya ya Moshi.



Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro akikagua ujenzi wa kituo cha polisi kinachojengwa kwa nguvu za wananchi eneo la Uru Kimanganoni kati. Kushoto ni askari mstaafu,mkazi eneo hilo Philipo mushi akimpokea Mutafungwa .


Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment