Biashara /Zanzibar : Rais Dk. Shein azindua kiwanda cha Azam Dairy Products Limited, Fumba - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.

Post Top Ad

6 Jan 2017

Biashara /Zanzibar : Rais Dk. Shein azindua kiwanda cha Azam Dairy Products Limited, Fumba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa wakikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa kiwanda cha uzalishaji wa Maziwa (Azam Dairy Products Ltd.) huko Fumba wilaya ya Magharibi "A" Unguja, ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifungua pazia kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa kiwanda cha uzalishaji wa Maziwa (Azam Dairy Products Ltd.) huko Fumba wilaya ya Magharibi "A" Unguja, ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa mara alipowasili katika Viwanja vya Kiwanda cha Maziwa cha (Azam Dairy Products Ltd.) huko Fumba Kororo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo kukizindua rasmi,ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud

Wafanyakazi wa Kiwanda cha Maziwa cha (Azam Dairy Products Ltd.) wakiendelea na shuhuli zao za kuhakikisha maziwa yanapangwa vizuri katika sehemu zinazohusika wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipotembelea baada ya kukizindua kiwanda hicho leo huko Fumba Kororo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja,ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Uzalishaji katika Kiwanda cha Maziwa cha AZAM DAIRY PRODUCTS LTD ADILSON FAGUNDES (kushoto) wakati alipotembelea Kiwanda hicho huko Fumba Kororo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja kuona harakati za uzalishaji baada ya kukizindua leo,ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Baadhi ya wafanyakazi wa Kiwanda cha Maziwa cha (Azam Dairy Products Ltd.) wakiendelea na shuhuli zao za kuhakikisha maziwa yanapangwa vizuri katika maboksi katika hatua za mwisho kuelekea sokoni,wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipotembelea baada ya kukizindua kiwanda hicho leo huko Fumba Kororo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja,ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifungua pazia kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa kiwanda cha uzalishaji wa Maziwa (Azam Dairy Products Ltd.) huko Fumba wilaya ya Magharibi "A" Unguja, ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa

Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi na Viongozi wengine waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa kiwanda cha uzalishaji wa Maziwa (Azam DairyProducts Ltd.) huko Fumba wilaya ya Magharibi "A" Unguja,wakishuhudia na kusikiliza maelezo yaliyotolewa kuhusu Kiwanda hicho,ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Baadhi ya wananchi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa kiwanda cha uzalishaji wa Maziwa (Azam Dairy Products Ltd.) huko Fumba wilaya ya Magharibi "A" Unguja,wakishuhudia na kusikiliza maelezo yaliyotolewa kuhusu Kiwanda hicho,ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Mwakilishi wa Kampuni ya Azam Diary Bw.Salim Aziz akitoa maelezo kuhusu mradi wa uzalishaji wa maziwa katika uzinduzi wa Kiwanda cha Maziwa cha (Azam Dairy Products Ltd.) leo huko Fumba Kororo wilaya ya Magharibi A" Unguja,katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad