Zanzibar : Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri kuu ya CCM Zanzibar. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 16 December 2016

Zanzibar : Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri kuu ya CCM Zanzibar.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamko Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Auai wakiwa katika Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.

Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa katika kikao cha siku moja kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,chuini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamko Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamko Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiendesha Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Auai.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamko Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiendesha Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.

Baadhi ya Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakimsikiliza Mwenyekiti wa kikao hicho cha siku moja Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamko Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja (Picha na Ikulu.)