Matukio : Tujitambue na Kuheshimu kazi zetu za Habari tunazowapelekea Wasomaji Wetu - Dk. Abbas Hassan - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


5 Dec 2016

Matukio : Tujitambue na Kuheshimu kazi zetu za Habari tunazowapelekea Wasomaji Wetu - Dk. Abbas HassanMkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dk. Hassan Abbas(wa pili kulia) akizungumza wakati wa kufungua mkutano mkuu wa Tanzania Bloggers Network(TBN) uliofanyika katika ukumbi wa PSPF jijini Dar.
Mwenyekiti wa muda wa mitandao ya Kijamii Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi(aliyesimama)  akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Tanzania Bloggers Network(TBN) uliofanyika katika ukumbi wa PSPF jijini Dar leo

Baadhi ya Bloggers wakiwa kwenye mkutano wao 


Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dk. Hassan Abba  akijibu maswali yaliyokuwa yakiulizwa na baadhi ya bloggers.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dk. Hassan Abbas(wa pili kulia) uliofanyika katika ukumbi wa PSPF jijini Dar.

Post Top Ad