Mahakamani :Mkurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo Ashtakiwa kwa Makosa 3 - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 16 December 2016

Mahakamani :Mkurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo Ashtakiwa kwa Makosa 3

Kesi ya Max wa Jamii Forums

Kosa la kwanza: Kuzuia na kuharibu data ambazo Jeshi la Polisi wamekuwa wakitaka kwa ajili ya uchunguzi chini ya kifungu cha 22 cha Cyber Act.

Kosa la Pili: Kushindwa kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi na kuharibu uchunguzi chini ya kifungu 22 cha Cyber Crime

Kosa la Tatu: Kumiliki website ambayo haina domain ya Tanzania (.co.tz) kinyume cha kifungu cha 7 cha sheria ya EPOCA