Select Menu

Matukio

News

Newspapers

Nishati

Jamii

Sports

News /Arusha

Technology

» » » » » Elimu : Hapi apokea Madawati 80 ,Jijini Dar es SalaamMkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi akikata utepe kuashiria upokeaji wa madawati ya msaada kutoka kwa Wakala wa Huduma za Misitu nchini jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi akizungumza mara baada ya kupokea madawati 80 yenye thamani ya shilingi milioni 5.6 kutoka kwa Wakala wa Huduma za Misitu nchini jijini Dar es Salaam. Picha zote na Emmanuel Massaka, Globu ya Jamii.

Meneja wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Wilaya ya Kinondoni, Alexander Mboya akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kukabidhi madawati kwa mkuu wa Wilaya jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Alli Hapi.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Alli Hapi na Meneja wa Meneja wa wakala wa huduma za Misitu Tanzania wilaya ya Kinondoni, Alexander Mboya wakiwa wamekaa kwenye madawati mara baada ya kukabidhi jijini Dar es Salaam.

About Gadiola Emanuel

Freelance Journalist | Photographer | Blogger | ICT |PRO | Social Media Scholar. Check me on | Instagram: @wazalendo25blog | Twitter : @wazalendo25 | Facebook: Wazalendo 25 Blog
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post