Maisha ya Staa : Picha matata za Aunty Ezekiel na Familia yake, walipendeza Sana - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 6 November 2016

Maisha ya Staa : Picha matata za Aunty Ezekiel na Familia yake, walipendeza Sana

Tbt ::The Cutest Pictures of Aunty Ezekiel and her Family

We cant get enough of these Pictures za Aunty Ezekiel ,Mose Iyobo na binti yao Cookie ,zilipigwa kusherehekea birthday ya Aunty Ezekiel,na leo si ndo alhamisi mambo ya TBT yanahusika sana
Kwenye photoshoot za familia kama hivi mna tengeneza nguo sare sare

For Aunty;s family walivaa jeans nyeusi ,t shirt zenye namba pia na maneno,King ,Queen na princess 


'
Na sneakers zao matata sana 

Father daughter moments 

Blazers,red shoes and jeans 

 
Wakiwa Beach Sasa... !

No comments:

Post a Comment