Elimu : Mhe. Nyalandu mgeni rasmi Mahafali ya 12 chuo kikuu cha Mount Meru , Jijini Arusha - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


6 Nov 2016

Elimu : Mhe. Nyalandu mgeni rasmi Mahafali ya 12 chuo kikuu cha Mount Meru , Jijini Arusha


Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mount Meru,Profesa Harrison Olang(kushoto)akizungumza na Mbunge wa Singida Kaskazini ambaye alikua mgeni rasmi katika mahafali ya 12.

Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini.Lazaro Nyalandu(kulia)akifurahia jambo na familia ya Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mount Meru,Profesa Harrison Olang

Picha ya pamoja na wahitimu


Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini.Lazaro Nyalandu(kushoto)akizungumza na Pastor Earl Pirkle(kulia) na Mkuu wa Chuo cha Mount Meru Profesa Elijah Wanje. 
http://michuzi-matukio.blogspot.com/
Afisa Habari na Uhusiano wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Gasto Leseiyo akitunukiwa Shahada ya Uzamili wa Uongozi wa Biashara katika Chuo Kikuu cha Mount Meru mkoani Arusha.

Mdau Gasto Leseiyo ambaye ni Afisa Habari na Uhusiano wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC) akifurahia baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili wa Uongozi wa Biashara katika Chuo Kikuu cha Mount Meru mkoani Arusha.

Mdau Goodluck Kimaro ambaye ni Afisa Rasilimali Watu wa TBL Arusha Plant akifurahia baada ya kutukiwa Shahada ya Uzamili katika Uongozi wa Biashara katika Chuo Kikuu cha Mount Meru mkoani Arusha

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad