Mkurugenzi
Mtendaji wa jarida maarufu nchini la Bang 'Bang Magazine', Emelda
Mwamanga (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya kubwa
la mavazi ya maharusi 'Precious Wedding House' lililozinduliwa jijini
Dar es Salaam jana. Kushoto ni mmiliki wa duka hilo, Mary Monyo pamoja
na Mwendeshaji wa duka la Precious Wedding House, Victoria Chuwa
(kulia). Uzinduzi huo uliofanyika Sinza Madukani ulikwenda sambamba na
maonesha ya mavazi mbalimbali ya maharusi yaliofanywa na wabunifu wa
mitindo maarufu kutoka Tanzania na Nigeria na wanamitindo chipukizi toka
Tanzania.
Mmiliki wa duka jipya kubwa la mavazi ya maharusi 'Precious Wedding House' lililozinduliwa jijini Dar es Salaam jana, Mary Monyo (kulia) akimlisha keki Mkurugenzi Mtendaji wa jarida maarufu nchini la Bang 'Bang Magazine', Emelda Mwamanga (kushoto) wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliofanyika Sinza Madukani sambamba na maonesha ya mavazi mbalimbali ya maharusi yaliofanywa na wabunifu wa mitindo maarufu kutoka Tanzania na Nigeria.
Mkurugenzi Mtendaji wa jarida maarufu nchini la Bang 'Bang Magazine', Emelda Mwamanga (kushoto) akimlisha keki Mmiliki wa duka la mavazi ya maharusi 'Precious Wedding House' lililozinduliwa jijini Dar es Salaam jana, Mary Monyo (kulia) wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliofanyika Sinza Madukani sambamba na maonesha ya mavazi mbalimbali ya maharusi yaliofanywa na wabunifu wa mitindo maarufu kutoka Tanzania na Nigeria.
Mmiliki wa duka la Precious Wedding House, Mary Monyo (kushoto) akimlisha keki Mwendeshaji wa duka hilo, Victoria Chuwa (kulia) mara baada ya uzinduzi wa duka la mavazi ya maharusi 'Precious Wedding House' lililozinduliwa jijini Dar es Salaam.
Mmiliki wa duka la Precious Wedding House, Mary Monyo (kushoto) akimlisha keki mmoja wa wageni waalikwa mara baada ya uzinduzi wa duka la mavazi ya maharusi 'Precious Wedding House' lililozinduliwa jijini Dar es Salaam.
Mbunifu maarufu wa mitindo kutoka nchini Nigeria, Femi (wa pili kushoto), pamoja na mbunifu maarufu nchini Tanzania, Strayton Mashulano (wa kwanza kulia) wakiwa katika pozi pamoja na baadhi ya wanamitindo chipukizi kutokea nchini Tanzania, kwenye maonesha ya mavazi mbalimbali ya maharusi yaliofanyika katika duka la mavazi ya maharusi 'Precious Wedding House' lililozinduliwa jijini Dar es Salaam.
Mmiliki wa duka la Precious Wedding House, Mary Monyo akimkabidhi zawadi ya keki Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Times FM, Khadija Shaibu 'Dida' kwenye uzinduzi wa duka jipya kubwa la mavazi ya maharusi 'Precious Wedding House' lililozinduliwa jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo ulienda sambamba na siku ya kuzaliwa Khadija Shaibu 'Dida'.
Mmiliki wa duka la Precious Wedding House, Mary Monyo (kushoto) akimwonesha moja ya magauni ya maharusi Mkurugenzi Mtendaji wa jarida maarufu nchini la Bang 'Bang Magazine', Emelda Mwamanga (kulia) mara baada ya uzinduzi wa duka la mavazi ya maharusi 'Precious Wedding House' lililozinduliwa jijini Dar es Salaam jana. Uzinduzi huo uliofanyika Sinza Madukani ulikwenda sambamba na maonesha ya mavazi mbalimbali ya maharusi yaliofanywa na wabunifu wa mitindo maarufu kutoka Tanzania na Nigeria na wanamitindo chipukizi toka Tanzania.
Mkurugenzi Mtendaji wa jarida maarufu nchini la Bang 'Bang Magazine', Emelda Mwamanga (kushoto) pamoja na Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Times FM, Khadija Shaibu 'Dida' wakifungua mvinyo kwenye Uzinduzi huo uliofanyika Sinza Madukani.
Mmiliki wa duka la Precious Wedding House, Mary Monyo (kulia) akigonganisha glasi ya mvinyo na baadhi ya wageni waalikwa kwenye uzinduzi huo.
Wabunifu mitindo waonesha mavazi uzinduzi duka la maharusi Na Mwandishi Wetu WABUNIFU wa mitindo maarufu kutoka Tanzania na Nigeria na wanamitindo chipukizi wamejitokeza kufanya maonesha ya mavazi mbalimbali ya maharusi katika uzinduzi wa duka jipya kubwa la mavazi ya maharusi 'Precious Wedding House' lililozinduliwa jijini Dar es Salaa. Uzinduzi huo uliofanyika jana eneo la Sinza Madukani ulipambwa na mbunifu wa mitindo kutoka nchini Nigeria ajulikanaye kwa jina la Femi, mbunifu maarufu nchini Tanzania, Strayton Mashulano pamoja na baadhi ya wanamitindo chipukizi kutokea nchini Tanzania.

Akizungumza
katika uzinduzi huo, Mwendeshaji wa duka la Precious Wedding House,
Victoria Chuwa ambao ni waandaaji wa onesho alisema waliamua kufanya
onesho hilo ili kutoa fursa kwa wananchi hasa wanaoelekea kufanya harusi
kujua mitindo mbalimbali ya mavazi ambayo wanaweza wakaitumia katika
shughuli zao za harusi na kuonekana tofauti kimuonekano.
Alisema
wabunifu walifanya maonesho ya mavazi katika mitindo mbalimbali kutumia
mavazi ya hali zote ikiwa ni kuonesha jamii harusi si lazima muhusika
au maharusi kutumia gharama kubwa bali wanaweza kutumia gharama za chini
na kuonekana wenye mvuto kama watapata ushauri kutoka kwa wabunifu na
wanamitindo.
Alisema
duka lao pamoja na kuuza nguo za maharusi watakuwa wakitoa ushauri bure
kwa maharusi endapo watafika katika duka hilo ambalo limekuja kuleta
mabadiliko katika mitindo ya maharusi. Alisema duka hilo litahudumia
watu wenye kipato cha chini, cha kati na hata cha juu kulingana na
mahitaji ya wahusika huku wakinufaika kwa ushauri bure kila
atakaetembelea na kuomba ushauri kwa wataalamu wa mitindo.
Alisema
duka hilo kubwa la mitindo ya maharusi wa kike na kiume linatumia
wataalamu wa mitindo kutoka nchi za Uturuki, Marekani, Italia pamoja na
Tanzania. Alisema wamekuja kuondoa dhana iliyojengeka kuwa nguo za
maharusi ni anasa kutoka na maduka mengi kuuza bei kubwa kuliko
inavyotegemewa, hivyo kupitia kwa wataalam wao maharusi wanaweza kufanya
shughuli kwa bei ndogo na kuvutia.
"...Watu
wengi wanaona mavazi ya maharusi ni kama anasa kutokana na bei kubwa za
mavazi haya, sisi tumeamua kuleta mabadiliko hapa dukani kuna nguo za
makundi yote, yaani watu wa kipato cha chini, watu wa kipato cha kati na
hata watu wa kipato cha juu...unaweza kuandaliwa nguo yako ya harusi na
wanamitindo kutoka nchi tulizotaja wewe ukiwa hapa hapa nchini na
ukaipata ndani ya siku 21.
Akizinduwa
duka hilo, Mkurugenzi Mtendaji wa jarida maarufu nchini la Bang, Emelda
Mwamanga alimpongeza mwanamama mjasiliamali na mmiliki wa duka hilo,
Mary Monyo kwa uamuzi wa kusaidia kutoa ushauri kwa maharusi jambo
ambalo limekuwa likipasua vichwa kwa wahusika. Alisema kitendo hicho
kinatoa changamoto kwa akinamama wajasiliamali kuweza kufanya mambo
makubwa kibiashara.
No comments:
Post a Comment