Michezo /Kifo : Bondia Thomas Mashali afariki Dunia - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


31 Oct 2016

Michezo /Kifo : Bondia Thomas Mashali afariki Dunia

Taarifa iliyoifikia asubuhi hii, inaeleza kuwa Bondia Thomas Mashali amekutwa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo na mwili wake kukutwa maeneo ya Kimara, Jijini Dar es salaam. akithibitisha kutokea kwa kifo cha mwanamasumbwi huyo, Bondia Abdallah Pazi (Dullah Mbabe) amesema Mashali amefikwa na umauti huo usiku wa kumkia leo kwa kudaiwa kupigwa mpaka kuuawa na watu wasiojulikana kwa tuhuma za wizi.

Post Top Ad